Byser aka Mr Blue apata mtoto wa 3

HABARI: Kupitia ukurasa wa Instagram wa rapa @mrbluebyser1988 amepost picha inayomuonyesha mke wake Waheed kuwa amepata mtoto mwingine watatu ambaye amethibitisha kuwa ni wa kike.


Ujumbe aliopost @mrbluebyser1988 Unasomeka kwamba

“Ahsante mke wangu Mrs Blue Beauty Cosmetics kwa zawadi nyingine alhamdulillah, ahsante sana Mungu kwa kheri zako, karibu sana binti yangu Khairat kwenye familia alhamdulillah, Mungu ni mwema sana”

Huyo atakuwa mtoto wa tatu kwa msanii huyo na mkewe kwani hapo awali walikuwa na watoto wawili ambao mmoja wakiume mwingine ni mtoto wa kike.


Comments

Popular posts from this blog

Vitu 5 Wanaume Wanataka Kutoka Kwa Wanawake Kwa Siri Lakini Wanaogopa Kuomba

Maji Ni Uhai kunywa maji kwa wingi utapata manufaa haya:

JE WAJUA NINI MATUMIZI YA SHANGA AU CHENI ZA KIUNONI WAKATI WA TENDO LA NDOA?!