Wanaume hawana ujasiri wa kutosha katika masuala ya mapenzi Kuna mambo ambayo wanataka kwa siri ila huogopa kuombaa au kuuliza. Itashuhudiwa tu ni jinsi gani wanavyofurahia wanapojikuta katika mambo hayo. Wanaogopa kuongea kwa hofu ya kukataliwa au kuonekana kama wanaume wako na umama. Yafuatayo ni Miongoni mwa mambo ambayo wanapenda kutoka kwa wanawake lakini wanaogopa kusema: 1. Kushikwa Na Kubanwa Wanaume wanataka kushikiliwa karibu na kubanwa. Kama vile wanawake wanavyojiamini wanaposhikiliwa vizuri, wanaume hujivunia na hufurahiya sana harakati hizo. Wanataka kushikwa mikono au mabega haswa wanapotembea katika sehemu zenye watu wengi. Inawafanya wahisi salama na kwao wanaamini ni ishara ya kuonya mtu yeyote anayetamani mpeni wake.Wengi wanasema "Wanaume ni kama watoto" 2 Kukumbatiwa hadharani Wakati wako na kikundi cha wanaume wenzao au mahali pa umma, wanaume wanataka kila mtu ajue ni nani mwenza wao anayewajali. Watakubali salamu lakini kwa siri wanataka kukumbatiwa....
Asilimia 70 ya mwili wa binadamu ni maji. Kwa hivyo, ili mwili kufanya kazi vizuri ni lazima uwe na maji ya kutosha. Unywaji wa maji una faida nyingi na kwanza husaidia mwili katika kudumisha usawa wa umajimaji wa mwili. Kazi ya maji ya mwilini ni, ufyonzaji, usambazaji, utengenezaji wa mate, usafirishaji wa virutubisho, na udumishaji wa joto la mwilini. Kuna faida nyingi zinazopatikana katika kunywa maji kila siku Hapa ni faida kuu za unywaji maji. 1. Matatizo ya choo Maji ni dawa ya kutibu ukosefu wa choo, kunywa maji ya kutosha kila siku na utajiepusha na tatizo la ukosefu wa choo mara kwa mara. 2. Usafishaji wa mwili Maji husaidia katika kuondoa sumu mwilini kwa kutoa uchafu wote kwa njia ya mkojo na haja kubwa. 3. Kupunguza uzito Unywaji wa maji mengi unasaidia kupu...
kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa maana ya shanga ama maana ya rangi za shanga Uvaaji wa cheni au shanga kiuononi kwa wanawake ni aina ya utamaduni ambao umekuwa ukipendwa sana na wanawake hasa wa pwani tangu miongo mingi iliyopita na kutokana na mabadiliko ya ya kiutamaduni na kuenea kwa utandawazi wanawake wengi wamekuwa wakivaa shanga au cheni kiunoni kama fasheni tu au urembo pasipo kujua matumizi, Loo! Vile vile kwa upande wa wanaume nao wamekuwa sio wataalamu katika kuzitumia shanga/cheni hizi ziwapo kiunoni mwa wapenzi wao na hivyo kupunguza ari ya wao kufaidi tendo lenye raha kuliko matendo yote, Zifuatazo ni baadhi tu ya namna ambavyo shanga au cheni za kiunoni huweza kuleta kizaa zaa kwa mwanaume na hata mwanamke mwenyewe na kumfanya asisimke kimahaba jambo linalotia ashki sana pale mnapojiandaa kula lile tunda taam ambalo hata chokleti haifikii. *Kitendo cha mkaka kuona cheni/shanga kadhaa zimet...
Comments
Post a Comment