Je Bangi Itahalalishwa Israel??




Drone nchini Israel Juzi alhamisi tarehe 3.9.2020 zimetumika kudondosha vifurushi vya bangi bure Kwa mamia ya watu katika Jiji la Tel Aviv.



Drone Hizo zinaaminika kuwa ni mali ya kikundi kinachoendesha kampeni ya kuunga mkono uhalalishaji wa matumizi ya bangi cha nchini Israel.

Comments

Popular posts from this blog

Vitu 5 Wanaume Wanataka Kutoka Kwa Wanawake Kwa Siri Lakini Wanaogopa Kuomba

Maji Ni Uhai kunywa maji kwa wingi utapata manufaa haya:

JE WAJUA NINI MATUMIZI YA SHANGA AU CHENI ZA KIUNONI WAKATI WA TENDO LA NDOA?!