Je Bado Unalala Na Nguo?? Zijue Faida 8 Za Kulala Uchi

usingizi

Kupata usingizi wa kutosha una umuhimu mkubwa na unapoukosa madhara kadha wa kadha yatakuandama.

UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo nzito laini za kulalia? Watu wengi hujifunika mashuka na wengine hujifunika mablenketi kabisa.

Usingizi ni mojawapo ya viungo muhimu zaidi katika maisha ya kila mwanadamu, na kila anayekosa usingizi wa kutosha hawezi kukamilika kimawazo.

1 Huimarisha afya ya ngozi

Unapolala bila nguo, ngozi yako hupata uhuru wa kupumua na kupata hewa safi bila kubanwa na nguo kadhaa. Sehemu zako nyeti pia hupata hewa safi bila kufinywa na hivyo kusaidia damu kusambaa ipasavyo.

2 Kutozeeka haraka

Je unajua kuwa kulala uchi huzuia kuzeeka upesi?

Unapolala uchi, mwili hupata hewa ya kisawasawa na kuweza kudhibiti melatonin pamoja na homini za kukua. Kemikali hizi huusaidia mwili kutozeeka haraka.

Hayo yote tisa, kumi, mwanamme anapolala uchi, nyeti yake hupata starehe ya aina yake na hivyo kuongeza maradhawa mbegu na nguvu za kiume.

Faida za Kulala Nude

3 Hutengeneza uhusiano mzuri ukisaidiwa na kichocheo cha Oxytocin

Natasha Turner, daktari wa tiba asilia aliyeandika kwenye blogu ya Huff Post Canada, alifichua kwamba kulala karibu au mkiwa mmekumbatiana na mwenzi wako mkiwa uchi/watupu hufanya mwili kutoa kichocheo kiitwacho Oxytocin kinachofanya ujisikie vizuri. Hii inatokea pale kunapokuwa na mgusano wa ngozi kwa ngozi, hii inaweza kusaidia kuondoa msongo (Stress) na kushuka moyo (Depression).

Oxytocin pia inaweza kupunguza shinikizo la damu, kuimarisha tumbo na kupunguza uvimbe kwenye utumbo. Pia, utendaji wako wa tendo la ndoa pengine unaweza kuboreka.

4 Huhamasisha vichocheo vya furaha (kuponya)

Unapolala na nguo au kulala chini ya blanketi zito unazuia utokaji wa kichocheo cha ukuaji (Growth Hormone/HGH). Hii ina maana hutoweza kupunguza mafuta ukiwa katika usingizi au hautofaidika na ukarabati wa usiku wa mifupa, ngozi na nyama za mwili wako.

Kulala uchi/mtupu pia huthibiti kiwango cha Cortisol, zinazo dhoofisha kinga ya mwili, kupandisha shinikizo la damu na lehemu (Cholestrol), kuvuruga mpangilio wa usingizi, kupunguza hamu ya tendo la ndoa na kuongeza hamu ya sukari.

5 Kugusana ngozi kwa ngozi ni muhimu kwa wanandoa

Hii ndiyo maana kamili ya miili miwili kunganika na kuwa mwili mmoja. Unapolala na mpenzi ama mkeo, ni jambo bora zaidi kulala utupu, hii inakupa msisimko wa ajabu haswa wakati wa kupashana mahanjam. Unapata halisi halisi ya mpenziwo na nyoto mkwa katika hali sawa kijoto ya mwili.

6 Hukupa furaha na kuwa huru

Hebu fikiria ile hisia inayokuja unapojipata kitandani bila nguo yoyote, bila kufinywa na chupi wala nguo za kulala.

Hisia hii humpa mtu furaha na hata kufurahia usingizi zaidi maana hakuna nguo zozote ambazo zinakubana.

7 Inaimarisha kujipenda

Kama una matatizo ya kutokujiamini basi kulala uchi/mtupu kutakusaidia kujifunza kujipenda. Kwa kuanza, jizoeshe kulala bila nguo kila jioni. Baada ya muda utazoea pia baada ya muda unaweza kuwa umejifunza kuupenda muonekano wako bila nguo.
Inatunza kiafya viungo vya uzazi.

Kina dada, mnafahamu mnaweza kupunguza matatizo ya mabukizi ya fangasi kwa kulala uchi/watupu? Unaweza kupunguza kuzaliana kwa fangasi na uke wako utakushukuru kwa hilo. Vilevile wanaume wanaweza kufaidika kulala uchi/watupu kwa kuwa korodani zinakuwa katika jotoridi la kutosha na uzazi unaongezeka.

8 Mzunguko wa damu unakuwa bora

Hakuna kitu kibaya kama lastiki inayozuia mzunguko wa damu. Ondoa nguo zenye lastiki na utajipata uko na furaha kwa mtiririko wa damu mzuri ndani mwili wako.

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Vitu 5 Wanaume Wanataka Kutoka Kwa Wanawake Kwa Siri Lakini Wanaogopa Kuomba

Maji Ni Uhai kunywa maji kwa wingi utapata manufaa haya:

JE WAJUA NINI MATUMIZI YA SHANGA AU CHENI ZA KIUNONI WAKATI WA TENDO LA NDOA?!