Tetesi za soka Ulaya Ijumaa

Mlinzi wa Manchester United Chris Smalling, 30, anaonekana kuwa tayari kujiunga na Roma kwa mkataba wa kudumu.


Sevilla ina matumaini ya kuendelea kuwa na beki wa Real Madrid Sergio Reguilon kwa mkopo kwa msimu mwingine licha ya Mhispania huyo, 23, kuhusishwa na uhamisho wa kudumu kuelekea Manchester United.

makubaliano ya mkopo ya kumsajili kiungo wa kati wa Real Madrid na Uhispania Dani Ceballos kwa msimu wa pili kufuatana.


Arsenal inafikiria kumtafuta kiungo wa kati wa West Ham, MBrazil Felipe,27, Anderson. 


Liverpool haitakubali kiungo wa kati wa Welsh Harry Wilson, 23, kuondoka tena kwa mkopo licha ya Newcastle, Leeds na Southampton kuonesha nia ya kumtaka.


Chelsea imearifiwa kwamba lazima ilipe pauni milioni 30 kumsajili mlinda lango wa Senegal Edouard Mendy, 28, kutoka Rennes. 

Comments

Popular posts from this blog

Vitu 5 Wanaume Wanataka Kutoka Kwa Wanawake Kwa Siri Lakini Wanaogopa Kuomba

Maji Ni Uhai kunywa maji kwa wingi utapata manufaa haya:

JE WAJUA NINI MATUMIZI YA SHANGA AU CHENI ZA KIUNONI WAKATI WA TENDO LA NDOA?!