Wamachinga na Mama Ntilie walinyanyasika
"Wamachinga na Mama Lishe waliteswa, walimwagiwa bidhaa zao na kuhangaishwa, tukaweka utaratibu kuwa Wamachinga na Mamalishe ni watanzania kama walivyo watanzania wengine watafanya biashara popote, sio tena kuhangaishwa na tukasema watalipa 20,000/= tu kwa mwaka" Ndg #Magufuli JP

Comments
Post a Comment