JE WAJUA NINI MATUMIZI YA SHANGA AU CHENI ZA KIUNONI WAKATI WA TENDO LA NDOA?!


FAHAMU UMUHIMU WASHANGA KIUNONI NA KAZI ZAKE - Smartdesmarttz
kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa maana ya shanga ama maana ya rangi za shanga 

Uvaaji wa cheni au shanga kiuononi kwa wanawake ni aina ya utamaduni ambao umekuwa ukipendwa sana na wanawake hasa wa pwani tangu miongo mingi iliyopita na kutokana na mabadiliko ya ya kiutamaduni na kuenea kwa utandawazi wanawake wengi wamekuwa wakivaa shanga au cheni kiunoni kama fasheni tu au urembo pasipo kujua matumizi, Loo!

Vile vile kwa upande wa wanaume nao wamekuwa sio wataalamu katika kuzitumia shanga/cheni hizi ziwapo kiunoni mwa wapenzi wao na hivyo kupunguza ari ya wao kufaidi tendo lenye raha kuliko matendo yote,

Zifuatazo ni baadhi tu ya namna ambavyo shanga au cheni za kiunoni huweza kuleta kizaa zaa kwa mwanaume na hata mwanamke mwenyewe na kumfanya asisimke kimahaba jambo linalotia ashki sana pale mnapojiandaa kula lile tunda taam ambalo hata chokleti haifikii.

*Kitendo cha mkaka kuona cheni/shanga kadhaa zimetokeza tu kiunoni mwa mdada mrembo ambaye anavutia na kujitunza basi ni mistake tosha mkaka huyo amefanya kwa kuchungulia chungulia kwenye viuno vya watu wenye taaluma zao.


Hii Ndio Kazi ya Shanga Kiunoni Kwa Mwanamke Pamoja na Maana ya Rangi zake  | UDAKU SPECIAL BLOG

1: UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO.. Kuna baadhi ya wanawake siku hizi wanapenda kuvaa shanga kama urembo,na kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto,Sio tu kwa wanaume bali hata kwa wanawake pia,ukivaa shanga kiuno chako kitapendeza . Kama unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia.

2: HUONGEZA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPEANA RAHA.. Hushawahi kuwaona baadhi ya wanawake wanapokuwa wanacheza ngoma,kiunoni huvaa kitu kinachoitwa kibwebwe ambacho huwafanya wajifeel wepesi wa kukata miuno,baadhi ya wanawake pia huvaa shanga kwa ajili ya kufanya iwe rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na pia wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.

3: UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU YA KUPATA RAHA MWANAUME.. Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda.Ki ukweli ukiziona shanga zipo kiunoni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli,kwahiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana raha na utamu,basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa peke yako kwa ajili ya kumsuprise mpenzi wako. Utajua kama anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa bize kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana raha.

4: UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU. Kuna baadhi ya wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia,mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama mwanaume husika atakuwa anaelewa maana ya hizo rangi za shanga. Zifuatazo ni rangi za shanga na maana yake.. NYEKUNDU.... Kama ukikuta mwanamke amevaa shanga za rangi nyekundu,basi ujue yupo kwenye siku zake ( Hedhi ). Kwa hiyo unaweza kumuuliza ili upate uhakika zaidi usije ukaingiza mashine ukaishia kujichafua. NYEUPE.. Ukikuta mwanamke amevaa shanga za rangi nyeupe basi ujue kuwa kwa muda huo,Hana tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe raha,kwahiyo upo free kufanya chochote kwenye mwili wake. NYEUSI.. Ukikuta mwanamke amevaa shanga za rangi nyeusi,basi ujue kuwa yupo tayari kukupa raha,lakini tatizo bado hajanyoa nywele zake za sehemu za siri kwa hiyo waweza kumnyoa kama kweli upo romantic au ukaacha siku hiyo ipite ili anyoe baadaye au kama hamu imekuzidia sana unaweza ukaendelea kama kawaida.

5: UNAWEZA UKAZIVAA ILI UJIONGEZEE RAHA WEWE MWENYEWE WAKATI WA KUPEANA RAHA.. Kiuno cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa au ukikipapasa,lazima mwanamke apate raha.Ukiwa unapewa raha na mwanamke aliyevaa shanga,Wakati wa kupashana joto,usisahau kuzichezea shanga zake kiunoni.Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiunoni pake basi peleka mikono yako,Chezea shanga kwa kuzipapasa kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu,au vyovyote unavyoweza.ukifanya hivyo hizo shanga zake zitakuwa kama zinamtekenya,na atapata raha na utamu wa kipekee sana.Utaenjoy makelele na miguno ya kimahaba atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho.

                                                                                Raha ya kitanda - #UTAMU WA #SHANGA Pale ninaposema... | FacebookJe Unajua nini Maana ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke? Soma Hapa Mwanzo  Mwisho | www.classics.com

Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

Vitu 5 Wanaume Wanataka Kutoka Kwa Wanawake Kwa Siri Lakini Wanaogopa Kuomba

Maji Ni Uhai kunywa maji kwa wingi utapata manufaa haya: